Ajira zinauzwa nje nje. Uhamiaji ni laki saba ukiutaka ni PM nikupe namba ukachukue kazi. uwe na vyeti halali. Upolisi laki nane mpaka milioni. sina namba ya muhusika.TRA ni milioni tatu uwe na vyeti halali na uwe uliapply na kupata namba ya interview. unazo m tatu ? CRDB uwe na vyeti na hongo sina cotact ya muhusika. Taja pengine nikuunganishe kwa pm.
mimi nipe namba mkuu nimechoka kukaa kitaaAjira zinauzwa nje nje. Uhamiaji ni laki saba ukiutaka ni PM nikupe namba ukachukue kazi. uwe na vyeti halali. Upolisi laki nane mpaka milioni. sina namba ya muhusika.TRA ni milioni tatu uwe na vyeti halali na uwe uliapply na kupata namba ya interview. unazo m tatu ? CRDB uwe na vyeti na hongo sina cotact ya muhusika. Taja pengine nikuunganishe kwa pm.
Ajira zinauzwa nje nje. Uhamiaji ni laki saba ukiutaka ni PM nikupe namba ukachukue kazi. uwe na vyeti halali. Upolisi laki nane mpaka milioni. sina namba ya muhusika.TRA ni milioni tatu uwe na vyeti halali na uwe uliapply na kupata namba ya interview. unazo m tatu ? CRDB uwe na vyeti na hongo sina cotact ya muhusika. Taja pengine nikuunganishe kwa pm.
ndo mana wanaoajiriwa TRA wanaomba rushwa njenje hasa pale mayfair plaza PCCB sioni umuhmu wake zaidi ya kutetea mafisadi, ndo mana wanaoajiriwa UHAMIAJI wanaingza wahamiaji haramu, ndo mana POLISI wananuka rushwa, ndo mana MABENKI yetu michoro ya wizi haiishi BZ hao wote ni PRODUCTS ZA RUSHWA...........
sijakuelewa umemaanisha nn apa?Mwendee pm
nipe mawasiliano ya mtu uyo anayeuza izo ajira apo eximkuna dada mmoja aliombwa uroda akakataa basi kwenye usahili jamaa akamfelisha makusudi, PCCB wako wapi?au hawasikii hivi vilio? Exim bank ni tsh 300,000 kama unataka mjini na 150,000 mikoani
Ajira zinauzwa nje nje. Uhamiaji ni laki saba ukiutaka ni PM nikupe namba ukachukue kazi. uwe na vyeti halali. Upolisi laki nane mpaka milioni. sina namba ya muhusika.TRA ni milioni tatu uwe na vyeti halali na uwe uliapply na kupata namba ya interview. unazo m tatu ? CRDB uwe na vyeti na hongo sina cotact ya muhusika. Taja pengine nikuunganishe kwa pm.
Jamani naombeni mnisaidie TRA niliapply na refference namba nilitumiwa ila nashindwa pakuanzia na million 3 sina. NIFANYEJE WADAU?