Hii hata mm nimeiona Kkoo. Wafanyabiashara sasa wanalalamika mno wengine wamekimbia maduka yao kabisaaa.. waliopo wanaogopa kufata mzigo hata store. maana unaweza kua unatoka na mzigo wako Store polisi hao hapo.
Ukikutwa na Mzigo wanaomba risiti ukiwaonesha hata kama Risiti ni halali wanakubambikia kesi kwamba pesa iloandikwa kwenye risiti haiendani na pesa ya bidhaa hata kama zinaendana