Rules to live

siku ya mwisho shuleni wakati tukiwa darasa la saba
mwalimu, yeyote atakaejibu masuala ataenda nyumbani mapema


mwalimu ameanza kuandika nani raisi wa mwanzo Tanzania?
kamsichana kamoja alijibu haraka Mwalimu Nyerere
msela mmoja yuko nyuma anataka sana kuondoka mapema,
mwalimu, nani raisi wa Tanzania kwa sasa, msichana mwengine alijibu haraka,
msela kakasirika akaanza kusema kule nyuma hawa wamama wangelinyamaza ingelikuwa poa sana, mwalimu aliuliza nani amesema hivo msela alitowa TIGER WOOD naweza kuenda zangu? mwalimu ameshangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…