Jaribu kufuatilia hapa kwenye mada zilizotangulia miezi michache iliyopita tuliweka tamplate ambayo ni rahisi kukusaidia kuandia business plan, hii itakusaidia zaidi kwani imeweka utaratibu na mfumo pamoja na dondoo zote kukurahisishia kuandaa. Thanks