wakuu ingekua vyema tuorodheshe majimbo yaliyokatiwa rufaa baada ya uchaguzi wa okt.25,ni idadi kubwa ya wabunge wa ccm ktk majimbo 264,je wameshinda halali na wale wa chadema/ukawa wameridhika? hivyo mods msiunganishe uzi huu.mfano jimbo la nyamagana/ilemela-wenje na kiwia wamekata rufaa! tajeni majimbo mengine
yaani wenje na kiwia wanajisumbua tu wameshindwa kihalali kabisa
sema kibongo bongo hamna kushindwa ukishindwa umehujumiw
ukifa basi umerogwa
kuna taarifa kuwa jimbo la rungwe mgombea wa chadema amekata rufaa baada ya utata wa kuchelewesha kutangaza matokeo jambo lililosababisha polisi kutumia mabomu ya machozi
Wakuu,
Ingekua vyema tuorodheshe majimbo yaliyokatiwa rufaa baada ya uchaguzi wa okt.25, ni idadi kubwa ya wabunge wa CCM ktk majimbo 264, je wameshinda halali na wale wa CHADEMA/ UKAWA wameridhika? Mfano jimbo la Nyamagana/Ilemela-wenje na kiwia wamekata rufaa!
Tajeni majimbo mengine
Tutahakikisha john mwambigija anapewa ubunge wake alionyang'anywa .kipenzi cha watu john d mwambigija alishinda lakini figisu figisu za mkurugenzi zilisababisha ashinde sauli,ila ukiangalia karatasi za mawakala Mzee wa Upako anaongoza.
Ni hivi , baadhi ya majimbo hakutakuwa na kurudia uchaguzi bali wabunge walionyang'anywa ushindi watarudishiwa . Hatutapoteza muda wa kurudia uchaguzi mahali ambapo mshindi halali anajulikana .
Aliyeshindwa kihalali ni Kiwia tu, Wenje alikuwa amepiga mtu alichokosea Wenje ni kukubali kuhesabu kura kwa kutumia masanduku ambayo yalilala kwa Mulongo (hapo lazima upigwe).
Hicho ndo kimemgharimu Wenje na wengine wengi ambao tunawasikia wanalia kama Ngurumo naye kwa Prof. Milioni 10 ya Mboga.Ni kosa kubwa kurudia kuhesabia kura.The best thing ni kutumia karatasi za mawakala
vipi amefungua kesi kupinga ushindi wa s h amon?