Rudisheni pesa mlizoiba

Hahahahaa watu nyuso zao haziongei hicho walichokibeba mikononi
 
Safari Hii Watakoma Tena Sana Mpaka Kieleweke
 
aaaah wapi....wenyewe wanasema ni upepo wa msimu tuu...
 
aaaah wapi....wenyewe wanasema ni upepo wa msimu tuu...

Ni upepo tu huu utapita mi nakuambia...baada ya mwezi hapa hutosikia chochote....chezea wadanganyika weye
 
movie makers wanaandaa movie nyingine, ESCROW ndo ipo sokoni inachat baada ya zile
nyingine EPA na wenzake kufanya vizuri..a movie known as_______is COMING SOON!!

Ni upepo tu huu utapita mi nakuambia...baada ya mwezi hapa hutosikia chochote....chezea wadanganyika weye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…