Rubani amefariki kwenye ndege

Nahodha akatangaza suala la dharula na hakuna rubani aliyejeruhiwa. . Aliyeelewa msaada tafadhari.
Taarifa hii ni C & P toka media za nje, nadhani kuna shida kwa mtu wa mwanzo aliyetafsiri ambaye pia nadhani ni wa huko hivyo kiswahili sio lugha mama.
 
itakua movie hii
 
Cc
barafu mzee wa Aviation hebu ongeza nyama kwenye hii thread.
Tatizo ni aliyetafsiri hiyo habari
Ukisoma kwenye vyombo vya kimataifa imeandikwa vizuri tu na kieleweka!!
Kuna "Pilot in Command" na "First Officer"...Hapo aliyefariki ni Pilot in Command,ndege ikaahushwa na msaidizi wake.Ndege kubwa kama B738 lazima iwe na marubani wawili
 
Sure, na zingine zinakua na Flight Engeener kabisa humo humo katoka cockpit.
 
Hivi sikukuu ya wenye skili za kuwatisha wao ni lini
 
SOMETIMES DEEP STRESS NA BRAIN DEPRESSION HUWA INA CHANGIA VIFO KAMA HIVI
 
Ila atakuwa labda kidogo anauelewa fulani! Na ndege ilikuwa ni hizi ndogo ile midude mikubwa hata pa kubonyeza hupaoni kwani midude ni mingi mno!!
 
Sa kwanini huyo rubani aliyekufa hakupewa jina na wazazi wake wakati anazaliwa..halafu huyo rubani amekufa halafu rubani huyo huyo ametua salama salimini!!!...ama kweli kua uyaone !!
Ndege haiwezi kupata matatizo yoyote angani au ya kutua hata kama marubani wote wakifa.Hata muhudumu anaweza kushika usukani na kupata maelekezo toka kwenye control tower yatakayotolewa na marubani wabobezi wa ndege husika
 
Hii ndege ilikuakuaje lakini?ni nani alikua anaicontrol? Au ndiyo sinema yenyewe hii kati ya chucknoris na adui. Adui kafa....cheknoris akawa anaikonrol kutumia remote😀😀😀
 
Hamna copilot huyo mwingine ni first officer nadhani kwenye vitu basic kama landing isingempa shida hata angeweza akailand chief engineer.
 
Wabongo wazito sana kuelewa, ndege kubwa kama Boeing inakua na rubani wawili ( pilot in command and first officer) na mafundi wabobezi wa technical issues, even mafundi wana ujuzi wa kuendesha ndege, isitoshe ndege ni tofauti na vyombo vingine vya moto, hata muhudumu anaweza akapewa maelekezo from control tower na akaishusha ndege chini vizuri tu, mashirika makubwa kama Emirates, Etihad, KLM, etc watoa huduma walioajiriwa ni very bright na wanapewa short course za emergency kama hizo pindi zinapotokea
 
Sa kwanini huyo rubani aliyekufa hakupewa jina na wazazi wake wakati anazaliwa..halafu huyo rubani amekufa halafu rubani huyo huyo ametua salama salimini!!!...ama kweli kua uyaone !!
Ndege kubwa vile inakuwa na marubani si chini ya watatu na safety officer si chini ya wawili
 
lendila unawaaibisha wanajf
lendila unatuaibisha wanajf
lendila ametuaibisha wanajf
Wandishi gani huu sijui umekula maharage ya wapi wewe?
Unawayawaya unakuwa kama mtoto mdogo uliyevishwa pampas hujielewi!!
Hahahahaaaaaa duh samahani bro simaanishi kukukashifu najaribu kuiga mahubiri fulani kanisani kwetu [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…