Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Mjasiria tumbo km huyo OCD sijui kwa nini aliumbwa binadamu. Bora angeumbwa Mchicha vijana wakapata Vitamin C
Hivi hata kwenye polisi kuna u OCD wa chupi!???? nauliza tu.........
RPC huyo kaongea vizuri. Tatizo kesho utasikia karudishwa makao makuu.Kama kungekuwepo Marpc wengi wenye busara kama za Rpc huyu mauaji yanayofanywa na polisi kwenye mikutano ya Chadema yangeepukwa.
huyo OCD ni dhahiri kuwa anatumiwa kudhoofisha harakati za ukombozi, ni mchumia tumbo tu na huenda hata huo u-ocd amepewa kimagumashi!
Pongezi zangu za dhati zimfikie huyo RPC,HONGERA SANA KAMANDA.
mkuu umesahau amri ya mkuu wa kaya? "ccm wasitegemee polisi". mwisho wa kunukuu.Kuna kitu ambacho kinaonekana kuanza ku-change ndani ya jeshi la polisi ingawa si kwa kasi ila kwa mwendo wa kinyonga.
mirembe panakufaa sana. wewe unaona ni mikutano ya chadema tu ndo yenye haki? you are too bias na hufai, nyoka wa mndimu mkubwa wewe.Kama kungekuwepo Marpc wengi wenye busara kama za Rpc huyu mauaji yanayofanywa na polisi kwenye mikutano ya Chadema yangeepukwa.