Extraterrestrial
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 413
- 265
Inaonekana siku si nyingi gas supply to Europe via Ukraine itakuwa majanga.Hivi hawa westerners walitegemea Iran atakubali?Wamemuwekea massive sanctions uchumi wake umeharibika hapo hapo wanaitaka gas yake.BORA kakataa maana jinsi ambavyo hawa westerners wangekuja kumgeuka angejuta,uzuri Iran wanaelewa sana unafiki wao.
Rouhani added that from time to time Iran has problems with gas during winter.
We have many buyers, clients around us... All our neighbors to the east, west and south want to buy gas which we are yet to extract," he said.
In the meantime, Rouhani said that Iran is willing to cooperate with Russia in the gas sector.
In September, Reuters reported that the EU is quietly planning to import gas from Iran while two obstacles are still in the way - Tehran is currently under sanctions and lacks the necessary pipeline infrastructure.
iran haiwezi jenga urafiki wa kudumu na Russia kwakuwa ni nchi yenye extremists wengi wanaoona russia inanyanyasa muslims.ni Rahisi Iran ikajenga relation ya kudumu na china.
Kwani jamaa anaangaliaga hata anachoongea basi?.Je,China hainyanyasi waislamu?
iran haiwezi jenga urafiki wa kudumu na Russia kwakuwa ni nchi yenye extremists wengi wanaoona russia inanyanyasa muslims.ni Rahisi Iran ikajenga relation ya kudumu na china.
Ni kweli kabisa mkuu.Mkuu mpaka sasa hivi hawa watu ni marafiki wa muda mrefu. Russia siyo kwamba anawanyanyasa waislam. Anatetea utaifa wake.
kiuhalisia haiwanyanyasi ila kwa mtazamo wa marekani inawanyanyasa. Na mtazamo wa radicals hautatofautiana na wa marekani katika hili. Isipokuwa china haijachafuka kama US, na Russia. China wamekuwa wazuri wa kuzuia taarifa zisivuje nje ya mipaka yao.ikiwemo kukwepa kujihusisha na affairs za dunia moja kwa moja. mfano hili tukio la ISIS china wamekwepa kujiunga moja kwa moja. ila waasi wa Xinjiang province inasemekana wanachukua mafunzo kutoka isis kwa sasa. Ni rahisi kwa Iran kuungana na China, ukichukulia ISIS ni adui wa Iran. Ni kama kuamini kwamba US na Saudi arabia ni washirika wa kudumu. Sijui kama nimeeleweka..anywayJe,China hainyanyasi waislamu?