Rostam - Parapanda

Bado sijabahatika kuusikiliza huu Wimbo. Kusema ukweli huyo Roma mkatoliki na mwenzake wala siwaelewagi kabisa. Kwanzia mwonekano mpaka kazi zao.

Na pia bado naonaga kama roma alijiteka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…