Its Rostam Baby
Kaolewa(Enhee)
Na nani kaolewa
Wanasema haolewi
(KAOLEWA)
Makubwaaa
Mbona pambeee huyuhuyu Mwajuma Nchukunonii
(Kill Bea Bea)
Aaaahaa Mwajuma gani?
Yule mtoto wa mkunga asiyevaa vya dukani
Yule kutwa nguo za mtumba........!!!!!
(Bwana bwana bwana)
Yaani keshapata mchumba
Yaani huku kumedamshi njoo tufinye mpunga
Si walisema yule mgumba kizazi hana
Kitaani kicheche sana imekuwaje kapata bwana?
Mmmh ndoa kama utani mwana
Unaminyaminya nyanya unanunua bilinganya
Si walisema hana nyota nawasha mbele na nyuma
Bwana gani huyo goroka si angemuoa Muna?
Muna gani yule bwana wawili
Acha utani tukeshe mpaka aflajiri.
Kaolewa
Kiitikio
(Enhee)Na nani kaolewa?
Wanasema haolewi
(KAOLEWA)
Makubwaaa
Mbona pambeee huyuhuyu Mwajuma Nchukunonii
ANAMEREMETAAAAA
ANAMEREMETAAAAA
ANAMEREMETAAAAA
ANAMEREMETAAAAA
ANAMEREMETAAAAA
Enheee
Naona mawifi wanacheza na mshenga
Si wanasema haolewi leo ametuliza(_____)
Wale wa maX waliompiga chega
Wanaona wivu Mwajuma anapigwa denda
Ona walisema ana gundu
Ndio hao wanalishwa keki na waliosema haolewi
Ndio wanaomaliza kreti
(Nawaona)
Wasio na kadi ndio mmeingia bila wito
Si mlimchamba Bi Harusi
Mbona mnacheza Kwaitooo
Kampa kampa tena
Upo nyonyo???
Nipo titii
Najua haujachanga usiogope
CHEZA MZIKI
Ila Mwajuma anakata mauno
Anaonekana fundi
(Mmmh)