hata mwaka 2016 alisema hivi hivi, lakini bado tunamuona makanisani hadi leo 3 years down the line.
Rose Mhando amesema hana furaha katika maisha ya Ukristo tofauti na alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka. Pia Rose aliwaponda baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia hekima za kidini.
"Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu. Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose. Source: GPL
Una lipi la kumwambia Rose katika hilo?
Mkuu hili jina lako lilijitype lenyewe au n simu ilikua na virus? Mana hata mganga wa kienyej halitamk kizembe zembe, Unaweza ukaongea na Melo mkuu wanalekebisha majina yaliyokosewakitu kizuri ulokole jau
ha ha haMkuu hili jina lako lilijitype lenyewe au n simu ilikua na virus? Mana hata mganga wa kienyej halitamk kizembe zembe, Unaweza ukaongea na Melo mkuu
hii habari sio kweli hayo maneno yaliongelewa miaka kama minne imepita vile sasa wewe umayarudia now mbona yupo tu