Jamani kuna michango ya kudhalilisha utu huku Rorya,wenyeviti wa vijiji na watendaji wa kata,madiwani na mbuge wa ccm wanachukua fedha za halmashauri kifisadi hasa fedha za ukimwi na maendeleo kisha wanaitisha michango ya kuja kuwachangisha wananchi.
Nawashauri wananchi kataeni kwa nguvu kuchangia fedha upumbavu huo.Wanakula fedha za halmashauri kama mchwa!.
Nawashauri chagueni vyama vya upinzani ili mjikomboe na udhalilishaji huo.Hakuna maendeleo maana huku ujaluoni familia nyingi ni maskini wa kupindukia pia nawashauri ndugu zangu rushwa ya "gonytienda" kwa kiswahili nifungue mguu ambayo Airo anatoa au mnayoidai kutoka kwake inadhalilisha utu wetu na heshima yetu kama watu wa Rorya.
Luo wanajitakia haya wenyewe,kwanza tunabaguliwa ktk ofisi za serikali kuwa ni wakenya na watumishi wa serikali hii ya ccm,turudini kwetu upinzani maana luo kwa asili ni watu wanaopenda uwazi,uwajibikaji na kantu uswahili kwao mwiko,tuwapigie kura ukawa.Hasa kowack wananchi wanamwabudu fisadi lakairo kama mfalme kisa njaa na badala ya kuwaelemisha waache atera ,ukimwi utawamaliza
Huyo anaesema wajaluo ni wakenya mwambie hajui historia,wajaluo asili yetu ni Sudan ya kusini,we are nilots,Kama Masai na makabila mengine, miaka hiyo ya kuhama hama tulijikuta tumeshuka Kenya na along the lake region,Luis are fishermen, Masai are wachungaji, luos wapo Kenya, Uganda, Tz, DRC, and Nigeria bila kusahau oval office yaani jumba jeupe.mm ni mjaluo mtanzania,and am proud to be aluo period.Luo wanajitakia haya wenyewe,kwanza tunabaguliwa ktk ofisi za serikali kuwa ni wakenya na watumishi wa serikali hii ya ccm,turudini kwetu upinzani maana luo kwa asili ni watu wanaopenda uwazi,uwajibikaji na kantu uswahili kwao
mwiko,tuwapigie kura ukawa.
Huyo anaesema wajaluo ni wakenya mwambie hajui historia,wajaluo asili yetu ni Sudan ya kusini,we are nilots,Kama Masai na makabila mengine, miaka hiyo ya kuhama hama tulijikuta tumeshuka Kenya na along the lake region,Luis are fishermen, Masai are wachungaji, luos wapo Kenya, Uganda, Tz, DRC, and Nigeria bila kusahau oval office yaani jumba jeupe.mm ni mjaluo mtanzania,and am proud to be aluo period.