Nimekupata ymollel. What do you need to do before running the app?
Mkuu nimekutana na tatizo cm yangu haina drivers yan nime google drivers wapi, Cm yangu ni Vodafone smart mini.....nifaneje?
uwe na internet kidogo kama vile 15MB ili zitumike incase Driver ya simu yako haijapatikana, Pia unatakiwa ku enable USB debuging kwenye simu yako... kutokea hapo ni kiasi cha ku-connect simu yako wakati umeifungua hiyo program (Kingo) then hiyo program itaitafuta na ku detect simu yako (Ikishindwa ku detect , chomoa USB cable ya simu na uichomeke tena)... ikiwa detected CLICK ROOT na usubirie imalize.
ku'ROOT ndio nini!? na inafaida gani?
kuhusu maana ya kuroot sim hata mi sijui ila faida zake ametoa baadh hapo juu kwenye post yake hvyo jaribu kurejea wakt tunasubil maana ya kuroot sim mkuu!
Ku-Root ni kupata access ya vitu ambavyo ulikuwa umenyimwa kuvifanya au kuviona. kwa mfano: kutoa zile program zinazokuja na simu ambazo hauzihitaji na zinapunguza storage, unaweza pia kufanya SD card ikatumika kama RAM (Hii inahitaji software maalum) , unaweza kuondoa ile milio ya camera na ile ya wakati wa kuwasha na kuzima simu kwa zile simu zisizo na option hiyo.