emb gugo kwanza kabla haujaja na mapov hapa
mkuu kam unajua si umsaidie tu.. pengne anapaamini hapa zaid ya google.. au lugha ya kule gugo inampa tabu,, acha hzo yahee
emb gugo kwanza kabla haujaja na mapov hapa
hapo kwenye red ...du ni hatari
Lkn google kuna uongo na Ukweli kwa hiyo naona sio vizuri kama ni hivyo hamna haja ya kuwa na jukwaa kama hili
Vitu kama ku Root simu ni topic za muhimu kwa hiyo usimlook down jamaa
Na mm nina ka TECNO P3 kama kuna anayejua ku root anisaidie hata peso ntatoa
Google nimesoma lkn ile method ya POOt sikufanikiwa
Yan umenishambuliaaaa?!!!!! kumbe nawe wataka?!!! kwan vp hyo p3 ina tatz gan c umechukua jana tu man?!!
Me nakushauri achana na mamb ya ku root maana unaweza ukaipatia ikawa poa bt likbuma utakoma.
Cha msing ridhka na ka phne 2 man haya ma rooting n karata
Mi na shida kidogo kuna vitu nikiistal kwenye my fon (samsung gallaxy s iii mini) naambiwa co rooted phone..so nafanyaje ili iwe rooted phone plz anayejua anisaidie
Mkuu sakama google kama unajua model ya simu yako
Mimi nimefanikiwa kwa Tecno n3
ume2mia file gan mkuu
Tafuta na google how to unlock tecno n3
hapo kwenye red ...du ni hatari
Lkn google kuna uongo na Ukweli kwa hiyo naona sio vizuri kama ni hivyo hamna haja ya kuwa na jukwaa kama hili
Vitu kama ku Root simu ni topic za muhimu kwa hiyo usimlook down jamaa
Na mm nina ka TECNO P3 kama kuna anayejua ku root anisaidie hata peso ntatoa
Google nimesoma lkn ile method ya POOt sikufanikiwa
Ule bozz wa P3 anaweza zaidika,,,,,,,akiwa online anitell 2root iyo cm yake mara iyo iyo..