"Liverpool wakibeba ubingwa wa uefa wala sio habari, wameshababe mara tano, kubeba ya mara ya 6 kawaida tu maana hakuna anayeshindana nae katika hilo. Tatizo lipo yeye kubeba ubingwa wa ligi, hilo halikubaliki, ni mwiko"
Hajitambui huyu kilaza.
awaulize kina Neville, Giggs, nk inavyowauma kuzidiwa na Liverpool kwenye mataji ya Ulaya. wanatamani kubadilishana na yao ya EPL!