Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Kuna uwezekano wa chuki binafsi na wivu wa kike unaowafanya wawe vipofu au wazi-ignore facts, coz may be world cup ya 1994 ni mbali kwa mamluki wengi ila nauhakika WC ya 2006 si mbali, muulizen huyo mkata viuno alifanya nini kwenye team yake, coz we all know 2002 alikua nyuma ya vivuli vya Ronaldo na Rivaldo, 2006 ilikua time yake coz kina Ronaldo walikua kwenye 30's huko wanaelekea kustaafu, 1/2 final walikutana na France, Zizou akiwa 34 yrs old aliwachezesha kwata wabrazil kwa namna alivyotaka na zawadi kutoka uarabun za kanzu kwa kina Dinho, kaka.
Ingekua National side that counts tusingekua na icons katika soka kama Weah, Nedved, Shevshenko na others.
Tukubaliane na facts kwamba Messi ni wa aina yake, and why do u think they called him "Mess"?
Ndio tabu ya kuangalizia mechi vibandani.
Hiyo Mechi Zizzou angempiga kanzu Dinho basi kiza kingetanda palepale na kisha upepo mkali ungevuma na kuleta madhara makubwa mno.
.
Chukua hii any goal scored by ronaldinho
is ALWAYS a highlight...
to me ronaldinho is the most
talented to ever played the game football, he
was even more talented than maradona. so if we
judge like this
in the best of
messi,ronaldinho,maradona,pele,zidane,ronaldo who is the best for me its
ronaldinho
to me ronaldinho is the most
talented to ever played the game football, he
was even more talented than maradona. so if we
judge like this
in the best of
messi,ronaldinho,maradona,pele,zidane,ronaldo who is the best for me its
ronaldinho
Ronaldinho on Messi. "To be better than Pele, you
need to win three World Cups, not just goals against
Getafe, Mallorca and Zaragoza."
Mwana Mtoka Pabaya unajua Gang Chomba mzee wa AC MIlan mi sielewi kwa nini anaweka ubishi kwenye mambo ambayo hayaihitaji kubishiwa. Argentina will soon win the World Cup lakini Argentina ku win wold cup haitakuwa kigezo cha kusema Aguero ni bora, au Messi ni bora. Team success na Player success ni vitu viwili tofauti.ndio maana leo timu langu la Liverpool liko hoi, lakini Luis Suarez is at the top of the best performers of Premier league this season. Sasa kama Gang Chomba unataka kuendelea kuwa mbishi tu bila data basi ngoja tukuache uendelee kubisha kama mtu anayekazana kuiamsha maiti akiamini itainuka.
tumalize ubishi tutafute replay za dinho na messi wakicheza kwenye club na wakicheza kwenye kombe la dunia then tupige kura, kwa mtazamo wangu dinnho atashinda, kama kuna mtu anabisha tupige kura huma JF tuone nani zaidi
Welcome again sir...
Ronaldinho on Messi. "To be better than Pele, you
need to win three World Cups, not just goals against
Getafe, Mallorca and Zaragoza."
Ngonjera hizi, sioni point.
Kama dinho ni alama ya soka, unaweza kunionesha jina lake hapa kwenye list
Below are the results of a poll by International Federation of Football History & Statistics (IFFHS) for the best Brazilian player of the 20th century.[SUP][53][/SUP][SUP][54][/SUP]
[TABLE="class: cms_table_wikitable"]
[TR]
[TH]#[/TH]
[TH]Name[/TH]
[TH="width: 100"]Career[/TH]
[TH="width: 40"]Votes[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD="align: left"]Pelé[/TD]
[TD]19571971[/TD]
[TD]220
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD="align: left"]Garrincha[/TD]
[TD]19551966[/TD]
[TD]142[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD="align: left"]Zico[/TD]
[TD]19711989[/TD]
[TD]51[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD="align: left"]Zizinho[/TD]
[TD]19421957[/TD]
[TD]40[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD="align: left"]Arthur Friedenreich[/TD]
[TD]19121935[/TD]
[TD]21[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Tostão[/TD]
[TD]19661972[/TD]
[TD]21[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD="align: left"]Didi[/TD]
[TD]19521962[/TD]
[TD]15[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Leônidas[/TD]
[TD]19321946[/TD]
[TD]13[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD="align: left"]Nílton Santos[/TD]
[TD]19491962[/TD]
[TD]12[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Ronaldo[/TD]
[TD]19942011[/TD]
[TD]12[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11[/TD]
[TD="align: left"]Romário[/TD]
[TD]19872005[/TD]
[TD]11[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD="align: left"]Falcão[/TD]
[TD]19761986[/TD]
[TD]10[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Rivelino[/TD]
[TD]19651978[/TD]
[TD]10[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14[/TD]
[TD="align: left"]Ademir da Guia[/TD]
[TD]19651974[/TD]
[TD]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15[/TD]
[TD="align: left"]Luís Pereira[/TD]
[TD]19731977[/TD]
[TD]7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16[/TD]
[TD="align: left"]Carlos Alberto Torres[/TD]
[TD]19641977[/TD]
[TD]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]17[/TD]
[TD="align: left"]Domingos da Guia[/TD]
[TD]19311946[/TD]
[TD]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18[/TD]
[TD="align: left"]Ademir[/TD]
[TD]19451953[/TD]
[TD]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD="align: left"]Bebeto[/TD]
[TD]19851998[/TD]
[TD]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Jairzinho[/TD]
[TD]19631982[/TD]
[TD]2[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hawa ndio manguli wa Kibrazil wanaowania tuzo ya mwanasoka wa karne wa Brazil, simuoni huyo Mr. Alama ya Soka wako.
We piga kelele weeeee, lkn ukitaka kumshawishi mtu aamini unachoamini njoo na facts sio ngonjera ulizopost hapa
Mwenyewe hajui kuna watu huku Third World hawanywi maji kisa yeye na mguu wake wa kushoto. Naamini siku Messi akijichanganya aje National Stadium kama alivyojichanganya Kaka, atapigwa manati huyu mpaka ajute kwa anavyochukiwa na Gang Chomba & Co
Hebu cheki na hii
Yawezekana Gang Chomba usielewe, hili ni kabati la Messi, sio la timu.
Siku huyu dogo akiambiwa abebe haya madini kwa mgongo ndani ya gunia hakyanani lazima avunjike mgongo
Mkuu mwanamtoka pabaya niPM nikupe lunch. Hii ndio kiboko ya ganga chomba na umbea wake na maneno ya kwenye khanga yasiyo na reference. Sasa anioneshe kama kuna mwanaume yeyote amepiga picha na tuzo 4, .....taip!
Ndio tabu ya kuangalizia mechi vibandani.
Hiyo Mechi Zizzou angempiga kanzu Dinho basi kiza kingetanda palepale na kisha upepo mkali ungevuma na kuleta madhara makubwa mno.
.
Chukua hii any goal scored by ronaldinho
is ALWAYS a highlight...
Futa mikohozi hiyo...
washambenga wenzio nshawaambia kuwa Tuzo huzitokei jasho.
Wenzake wanapiga picha na ndoo ya Dunia walioitokea jasho.
Forza Dinho
Futa mikohozi hiyo...
washambenga wenzio nshawaambia kuwa Tuzo huzitokei jasho.
Wenzake wanapiga picha na ndoo ya Dunia walioitokea jasho.
Forza Dinho
Kwa hiyo ni lini Messi atamfikia Dinho? Siku akichukua tuzo kwa mara ya kumi kama alivyochukua Dinho au?
Nashangaa unajiita unayejua soka, unajua soka gani wewe? Hebu na ujuzi wako wa soka, angalia hii list hapo chini halafu nioneshe jina la Ronaldinho lipo nafasi ya ngapi
Below are the results of a poll by International Federation of Football History & Statistics (IFFHS) for the best Brazilian player of the 20th century.[SUP][53][/SUP][SUP][54][/SUP]
[TABLE="class: cms_table_wikitable"]
[TR]
[TH]#[/TH]
[TH="width: 150"]Name[/TH]
[TH="width: 100"]Career[/TH]
[TH="width: 40"]Votes[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD="align: left"]Pelé[/TD]
[TD]19571971[/TD]
[TD]220[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD="align: left"]Garrincha[/TD]
[TD]19551966[/TD]
[TD]142[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD="align: left"]Zico[/TD]
[TD]19711989[/TD]
[TD]51[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD="align: left"]Zizinho[/TD]
[TD]19421957[/TD]
[TD]40[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD="align: left"]Arthur Friedenreich[/TD]
[TD]19121935[/TD]
[TD]21[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Tostão
[/TD]
[TD]19661972
[/TD]
[TD]21
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD="align: left"]Didi[/TD]
[TD]19521962[/TD]
[TD]15[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Leônidas[/TD]
[TD]19321946[/TD]
[TD]13[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD="align: left"]Nílton Santos[/TD]
[TD]19491962[/TD]
[TD]12[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Ronaldo[/TD]
[TD]19942011[/TD]
[TD]12[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11[/TD]
[TD="align: left"]Romário[/TD]
[TD]19872005[/TD]
[TD]11[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD="align: left"]Falcão[/TD]
[TD]19761986[/TD]
[TD]10[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Rivelino[/TD]
[TD]19651978[/TD]
[TD]10[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14[/TD]
[TD="align: left"]Ademir da Guia[/TD]
[TD]19651974[/TD]
[TD]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15[/TD]
[TD="align: left"]Luís Pereira[/TD]
[TD]19731977[/TD]
[TD]7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16[/TD]
[TD="align: left"]Carlos Alberto Torres[/TD]
[TD]19641977[/TD]
[TD]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]17[/TD]
[TD="align: left"]Domingos da Guia[/TD]
[TD]19311946[/TD]
[TD]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18[/TD]
[TD="align: left"]Ademir[/TD]
[TD]19451953[/TD]
[TD]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD="align: left"]Bebeto[/TD]
[TD]19851998[/TD]
[TD]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Jairzinho
[/TD]
[TD]19631982[/TD]
[TD]2
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ronaldo de Lima yupo kwenye hii list na Ronaldinho hayupo, haya sema na hawa IFFHS nao walihongwa na Nike kwa kuwa Ronaldo alivaa Nike.