Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Haya futa mikohozi hiyo...
Dinho amefunga magoli ambayo wewe na ubongo wako uliojaa makamasi huo unayakumbuka.
Dinho kafanya miujiza ya soka ambayo wewe unaikumbuka.
Dinho ni alama ya Soka kwa watu wa Soka..
Mwana Mtoka Pabaya well done umejitahidi kuwapa darasa huru km hawajaelewa basi km ulivyosema maiti hana darasa
"I would love to face him again because I like to
play against the best players. Ronaldinho is on his
way for making magic in football." (Frank Lampard – Chelsea
player)
Yawezekana Gang Chomba usielewe, hili ni kabati la Messi, sio la timu.
Siku huyu dogo akiambiwa abebe haya madini kwa mgongo ndani ya gunia hakyanani lazima avunjike mgongo
Kabati halina world cup hilo...
Mavi matupu.
Am not a fan of Messi neither Barca ila ukimfananisha na Dinho ni sawa na usingizi na kifo, Messi ni from another planet, his records speak for themselves.
Halafu katika ulimwengu huu wa soka la sasa, world cup imepoteza umaarufu siku nyingi sana probably the last REAL world cup ilikua 1994 USA, wakati kina Romario, Bebeto, Baggio, Barres, wakiwa on top of the world, hicho ndio kipindi cha mwisho ulikua unaangalia soka la team za mataifa na unaenjoy, siku hizi to be honest ni Spain tu labla na Germany kidogo unaweza ukakaa na ukaenjoy their football, siku hizi hata Brazil inaboa.
Kombe lenye heshima na thaman katika soka la sasa ni Uefa Champions League,na ni katika mashindano haya wataalamu wa soka wanasema ndio mpira wa kiwango cha juu sana unachezwa, sio world cup.
So kusema Dinho ni bora sababu ya world cup ni upuuzi halafu ni nje ya topic coz thread inauliza ubora wao wakiwa Barca sio kwenye team za taifa infact hilo kombe la 2002 sio Dinho aliyekua the iconic figure wa the samba boys but,The El Phenomena, Ronaldo de Lima akifuatiwa na Rivaldo.
Kusema "No dinho,no soka" au "dinho was the reason many start to watch football" ni crime against the good game of football lakini pia ni uvivu wa kufikiri, Dinho ni mwepesi sana ukimuweka kwenye mizani na kina Zidane, Ronaldo de Lima, Messi,CR7 (and please don't compare this mediocre with the Graet Zinedine Zidane 'Zizou', the scientist)
"When it comes to football Messi is and will always be BETTER than Ronaldinho,in this life or the after life, ila kwenye kukata mauno, Dinho will always win"
Thenk yu sana!
Watu (kwa chuki zao binafsi na wivu) wanashindwa kutumia akili zao vyema. What they say ni sawa na kusema 'Bakhresa hawezi kuwa tajiri zaidi ya El Faroukh kwa kuwa Tanzania si tajiri zaidi ya Nigeria'.
Tuwekeni tofauti kati ya mafanikio binafsi ya mchezaji na mafanikio ya timu. Messi hawezi kulaumiwa sababu ya failures za Argentina, Messi alaumiwe kwa kushindwa kwake kama mchezaji.
Kwako Gang Chomba, World Cup 2002 (Shukrani kwake Mourinho) ilitawaliwa na Ronaldo de Lima aliyefanya featuring kwenye nyimbo za Rivaldo kiasi wakamtoa machozi Oliver Kahn. Ronaldo alifunga magoli 8, Rivaldo 5 na Gaucho 2.
Mkuu Mourinho, salute kwako, World Cup ya mwisho yenye mvuto ilipigwa 1994 kwani kulikuwa na mastaa kila timu ilitisha.
Romario, Dunga na Bebeto - Brazil
Gheorghe Hagi - Romania
Captain Uche, Jay Jay Okocha, Rashid Yekin - Nigeria
Patrick Mboma, Omam Biyiki, Rigobert Song - Cameroon
Maradona - Argentina
Dino+Roberto Baggio........jamani list ya manguli inatisha. Ile ndio ilikuwa ndio WC na kidogo 1998 kwa uwepo wa Zidane, Ronaldo na Figo.
Huyu aliyesema wenzake wamekuja kwa shemeji zao enzi za Messi yaelekea na yeye hakukuwepo 94 ndio maana hamjui Romario wala Okocha. Hajamuona hata Umit Duvala wa Turkey na Rustu.
Na ile ndio ilikuwa Brazil, zingatia Sergio na Elber pamoja na kiwango chao Bayern Munich bado hawakuwa wakipata namba kwenye National Team. Jamani soka halijadiliwi kwa jealous.
Mbona unaongea upumbavu wewe, ndio maneno gani sasa hayo? Jifunze kujiheshimu mpuuzi wewe, kila saa mavi, mavi mbona una akili za kijinga. Twende kwenye mada, hamna haja ya kuongea mambo ya kipumbavu kama juha.
Nimekwambia hilo ni kabati la Messi, World Cup haikai kwa mchezaji. Hilo kabati linaonesha mafanikio binafsi ya Lionel Messi na sio timu ya Argentina. Hata huyo Gaucho hakuipa ubingwa Brazil yeye peke yake na ndio maana kwenye 20 wanaogombea tuzo ya Mchezaji wa Karne hayumo kabisa.
Argentina kuchukua ubingwa sifa ni kwa timu ya Argentina na sio kwa Messi kama ambavyo Barcelona kuchukua ubingwa sifa ni kwa timu na sio kwa Messi. Mimi nimezungumzia tuzo alizopata Messi na sio Barcelona.
Acha maneno ya kijinga. Kama unataka kuzungumza ujinga nenda FB
tumalize ubishi tutafute replay za dinho na messi wakicheza kwenye club na wakicheza kwenye kombe la dunia then tupige kura, kwa mtazamo wangu dinnho atashinda, kama kuna mtu anabisha tupige kura huma JF tuone nani zaidi