Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
nasubiri kwa hamuKuna mod naye nija lake ni robot, yumo humu ndani. Ngoja yy aje akujibu
Mkuu, Umesema roboti ni software inayoweza kuingia kwenye mtandao kwa ku log in kama mtu,Roboti zipo ambazo kiuhalisia sio watu ni software ila zene uwezo wa kufanya kazi kama mtumiaji mwingine.. mfano zipo ambazo kazi zake ni kukusanya taarifa za site husika unayotembelea kujua IP address za watumiaji wake, wanatoka nchi gani, na kukusanya taarifa nyingine xinazotumiwa na search engine kama google na nk, mfano facebook ipo software zenye uwezo wa kuperform kila ukifanyacho ww binadamu... ila somo lake kubwa sana ila actually Toboti zipo na zinaweza register kwenye website na kuingia kama binadamu mwingine ndio maana kwenye login page ya site nyingi wanaweza yale maandishi ya kwenye picha uyarudie kiyaandika ili kujua kama ni binadam kweli robot likifika pale linachemka
Mkuu mada yako nzuri sema members wa humu sijui wakoje mada serious inaletwa wao wanaleta mizahaWakuu,
kuna kitu sijakielewa kinachohusu mitandao, na hasa Jamii Furums.
Nimeingia Jamii Forums kwa kutumia browser, kuna mahala nimeklik, nikakutana na maneno yanayoainisha aina za watumiaji,
kulikuwa na members,Guests, na Robots!
kulikuwa na aina tofauti za roboti, msn, yahoo, bing, na aina nyinginezo, na nimefuatilia na kuona maelezo ya baadhi ya threed zilizofunguliwa na hizo roboti!
naomba wajuvi wa mambo mnitoe tongotongo, hizo roboti ni za namna gani?
Naombeni Msaada wenu!
Mi ninachoona, huenda wana sheria zinazowazuwia kushea na sisi ktk mijadala, maana hili nadhani wangepaswa kunijibu, kama hata kwao ni geni pia walipaswa watoe hoja.Mkuu mada yako nzuri sema members wa humu sijui wakoje mada serious inaletwa wao wanaleta mizaha