Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,144
rekebisha post yako uzinzi au ulinziNimeshangazwa sana na hii habari nlio ipata maana najiuliza sasa kama hilo robot limeweza kutoroka huku maabara ikiwa na uzinzi imara na wa kutosha pamoja na cctv camera.
Je haliwezi kukimbilia huku tanzania? Na je kama likifika tanzania na kuanza kutuua sie raia itakuaje? Je serkali yetu imejiandaa vipi kukabiliana na hili robot la urusi?
Asantani
Kushaza ~ Kushangaza.Uzinzi=ulinzi. Ni habari ya kushaza huwa hawalicontrol?
Mkuu jaribu kutulia kidogo pindi ukiwa unaandika baada ya hapo jifunze kurudia kusoma kile ulichoandika by the way hilo robot walilicontrol baada ya kutoroka halikufika mbali sana na kusababisha maafaNimeshangazwa sana na hii habari nlio ipata maana najiuliza sasa kama hilo robot limeweza kutoroka huku maabara ikiwa na uzinzi imara na wa kutosha pamoja na cctv camera.
Je haliwezi kukimbilia huku tanzania? Na je kama likifika tanzania na kuanza kutuua sie raia itakuaje? Je serkali yetu imejiandaa vipi kukabiliana na hili robot la urusi?
Asantani
Maabara ilikuwa na uzinzi imara?Nimeshangazwa sana na hii habari nlio ipata maana najiuliza sasa kama hilo robot limeweza kutoroka huku maabara ikiwa na uzinzi imara na wa kutosha pamoja na cctv camera.
Je haliwezi kukimbilia huku tanzania? Na je kama likifika tanzania na kuanza kutuua sie raia itakuaje? Je serkali yetu imejiandaa vipi kukabiliana na hili robot la urusi?
Asantani
Nimesikia limeonana kageraNimeshangazwa sana na hii habari nlio ipata maana najiuliza sasa kama hilo robot limeweza kutoroka huku maabara ikiwa na ulinzi imara na wa kutosha pamoja na cctv camera.
Je haliwezi kukimbilia huku tanzania? Na je kama likifika tanzania na kuanza kutuua sie raia itakuaje? Je serkali yetu imejiandaa vipi kukabiliana na hili robot la urusi?
Asanteni.
Hahahahahahah, yaani ni matatizo bin taabani.Robot ni la urusi
Roboti la urusi limetoroka
Huyu mwenzetu analiomba Jeshi la tanzania lijiandae kulikabili hilo Robot lililopo urusi
Waafrika tuna safari ndefu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aseeeRobot ni la urusi
Roboti la urusi limetoroka
Huyu mwenzetu analiomba Jeshi la tanzania lijiandae kulikabili hilo Robot lililopo urusi
Waafrika tuna safari ndefu
Wakati mwingine lina paa angani...lina visa karibu litafika bongo nasikia linaogelea kama samaki