RM Vs RA-Mjadala umefungwa DOWANS,EPA etc,etc?

Timor

Member
Feb 4, 2009
48
32
Nimeisikitikia serikali kwa kuingilia na kuufunga mjadala wa mafahali wa ufisadi yaanai Regnald Abraham Mengi na Rostam Aziz.Interest ya serikali ni kuogopa kuumbuliwa kwa ajili ya ufisadi wa RA.Kwani inajua fika kwamba vita vya mshirika wake ni vita vya serikali ya CCM.Hata hivyo ni janja ya kunusuru kutajwa kwa mafisadi wengine wenye hisa ndani ya CCM.Swali langu basi wafunge mjadala wa DOWANS,EPA na wengine.Si imetaka watanzania tusijue juu ya mafisadi,basi na ufisadi HATUTAKI KUUSIKIA PIA WAELEWE HIVYO..



Mode usihamishe hii ni mada mpya!!
 
Ukweli ni kwamba RM ameigusa serikali pabaya,hivyo waungwana walioko serikalini wameona vema wajihami kwa juina la 'maslahi ya Taifa'.Kwa wengi wa wa wajinga waliojazana serikalini swala lolote linalogusa himaya ya baadhi ya 'God fathers'ni hatari kwa mustakabali wa taifa.
 
 
 

 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…