Riyadh yapigwa na kombora

zyogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
377
Reaction score
282
Waasi wa ki huthi toka Yemen jana wameshambulia mji wa Riyadh kwa makombora 7 moja limeweza kupenya ngome ya Saudi...na kudhaniwa kusababisha madhara makubwa kwa raia....kama ni kweli itakuwa ni fedheha kubwa kwa patriot kushindwa kuzuia short range missiles.
 

Attachments

Wapigwe tu maana hakuna namna.
 
Hapo Saudi Arabia lazima amnyoshee kidole Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…