desayi JF-Expert Member Aug 27, 2017 3,289 5,470 Aug 25, 2021 #21 CHIZI VITABU said: kocha wao analia muunganiko wa team anataka miezi mitatu wako bize kumshangilia manara kwamba atawafikisha nusu fainali ya afrika Click to expand... Hao utopolo ni team ya vilaza manara kawatukana ila kaenda kula maisha wakati kina nugaz hata mshahara hawana Sent using Jamii Forums mobile app
CHIZI VITABU said: kocha wao analia muunganiko wa team anataka miezi mitatu wako bize kumshangilia manara kwamba atawafikisha nusu fainali ya afrika Click to expand... Hao utopolo ni team ya vilaza manara kawatukana ila kaenda kula maisha wakati kina nugaz hata mshahara hawana Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Apr 13, 2017 44,599 188,810 Aug 25, 2021 #23 Kuna watu wanateseka aisee! Sasa hadi unafatilia sajili za walevi.
demigod JF-Expert Member Jan 2, 2015 8,250 15,116 Aug 26, 2021 #24 njaakalihatari said: atleast siyo batiki wala hazina silhoutes za wamama wajawazito Click to expand... Umeona wapi Batiki inauzwa 35,000/=?
njaakalihatari said: atleast siyo batiki wala hazina silhoutes za wamama wajawazito Click to expand... Umeona wapi Batiki inauzwa 35,000/=?
demigod JF-Expert Member Jan 2, 2015 8,250 15,116 Aug 26, 2021 #25 Kichwa Kichafu said: Kuna watu wanateseka aisee! Sasa hadi unafatilia sajili za walevi. Click to expand... Oya mbona una mkatisha tamaa mwamba?
Kichwa Kichafu said: Kuna watu wanateseka aisee! Sasa hadi unafatilia sajili za walevi. Click to expand... Oya mbona una mkatisha tamaa mwamba?
N njaakalihatari JF-Expert Member Feb 12, 2019 4,084 8,663 Aug 26, 2021 Thread starter #26 demigod said: Umeona wapi Batiki inauzwa 35,000/=? Click to expand... bikini zenyewe zinazotoka na vichembechembe vya mavi ziko hadi za milioni sembuse mabatiki yenye vibwengo all over?
demigod said: Umeona wapi Batiki inauzwa 35,000/=? Click to expand... bikini zenyewe zinazotoka na vichembechembe vya mavi ziko hadi za milioni sembuse mabatiki yenye vibwengo all over?