Mkuu,nafikiri,ukitoka kwenye BOX utaelewaNdo ubovu wa elimu yetu mtu anasoma B.A in economics miaka mitatu anakosa kazi anaanza kujikumbusha alivyo soma hapa Jf,...sehemu hi wengi ni ma graduate wa darasa la saba na form 4. 'Eti opportunity cost' hahaha hupati hata comment 10 jomba, hakiamungu...........kama unataka kupunguza stress zako hapa leta mada zinazoelekea na kula tunda kimasihara nk.....ila hiyo ya opportunity cost you are in the wrong place.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ubovu wa elimu yetu mtu anasoma B.A in economics miaka mitatu anakosa kazi anaanza kujikumbusha alivyo soma hapa Jf,...sehemu hi wengi ni ma graduate wa darasa la saba na form 4. 'Eti opportunity cost' hahaha hupati hata comment 10 jomba, hakiamungu...........kama unataka kupunguza stress zako hapa leta mada zinazoelekea na kula tunda kimasihara nk.....ila hiyo ya opportunity cost you are in the wrong place.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,hii ni changamoto ambayo inabidi tuitafutie suluhu.Kama taifa na kama watu binafsiNimecheka sana, comment yako ina onyesha utopolo uliopo kwenye vichwa vya watanzania tulio wengi. Tunashabikia nyuzi za kulana na kugegedana tu.