mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,005 Reaction score 132,380 Apr 7, 2014 #1 huyu jamaa anajita balozi wa amani? nani kamchagua....kila kongamano yumo anaongea tilalila kibao
Mzito Kabwela Platinum Member Joined Nov 28, 2009 Posts 18,904 Reaction score 7,746 Apr 7, 2014 #2 mrangi said: huyu jamaa anajita balozi wa amani? nani kamchagua....kila kongamano yumo anaongea tilalila kibao Click to expand... Mkuu hongera kwa kupata muda wa kusikiliza porojo za waganga njaa
mrangi said: huyu jamaa anajita balozi wa amani? nani kamchagua....kila kongamano yumo anaongea tilalila kibao Click to expand... Mkuu hongera kwa kupata muda wa kusikiliza porojo za waganga njaa
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,896 Reaction score 19,755 Apr 7, 2014 #3 Clouds fm ndio watakupa jibu lako
Kichapo13 Member Joined Jan 27, 2013 Posts 75 Reaction score 30 Apr 10, 2014 #4 Ni mtoto wa marehemu Omar Mwaulanga. Baba yake alikuwa Ofisa Usalama wa Taifa. Maarufu sana pale Kinondoni eneo la manyanya
Ni mtoto wa marehemu Omar Mwaulanga. Baba yake alikuwa Ofisa Usalama wa Taifa. Maarufu sana pale Kinondoni eneo la manyanya
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,835 Reaction score 37,444 Apr 10, 2014 #5 Kichapo13 said: Ni mtoto wa marehemu Omar Mwaulanga. Baba yake alikuwa Ofisa Usalama wa Taifa. Maarufu sana pale Kinondoni eneo la manyanya Click to expand... Chakula
Kichapo13 said: Ni mtoto wa marehemu Omar Mwaulanga. Baba yake alikuwa Ofisa Usalama wa Taifa. Maarufu sana pale Kinondoni eneo la manyanya Click to expand... Chakula
naumbu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 4,717 Reaction score 8,090 Apr 10, 2014 #6 Madame B said: Chakula Click to expand... Ha ha ha
Chanaiti JF-Expert Member Joined Feb 7, 2014 Posts 208 Reaction score 93 Apr 10, 2014 #7 Huyu jamaa amekaa kiujanjaujanja. Nilisikia pia kua ni mshirika na kina Kimbau kwenye mambo yetu yaleee......Macau,Hong Kong,Pakistan,Brazil,Colombia etc
Huyu jamaa amekaa kiujanjaujanja. Nilisikia pia kua ni mshirika na kina Kimbau kwenye mambo yetu yaleee......Macau,Hong Kong,Pakistan,Brazil,Colombia etc
W Waambi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 737 Reaction score 81 Apr 10, 2014 #8 Anajikoomba kwa Mengi