Hizo kibiashara tunaita cost of initial investment na hizo sio kodi hivyo ni vibali au lessen havina uhusiano na kodi, hizo gharama unatakiwa unazivunja vunja kdg kdg atazilipa mlaji wa mwisho na sio ww mfanyabiashara.
Kodi,tozo,na vibali hizo gharama zote anatakiwa kulipa mteja, kama ww ni mfanya biashara na unalipa kodi au tozo kwa kutumia hela yako iyo biashara lazima ufunge haitakilipa