Leo siku yangu haitakuwa poa kabisa, sijui kwa nini Mungu anawachukua watu kama hawa mapema, halafu anatuachia hawa wanasiasa wanatuongezea stress na Ugumu wa maisha,
Kwenye simu yangu nimejaza edm kazi za mikono ya avicij, Nina Waiting for love, Levels, Wake me up, Hey brother, A friend of Mine,
Jamaa amenifanya nifeel so good for years,
RIP My best producer of all time,