minda JF-Expert Member Oct 2, 2009 1,068 65 Jun 2, 2011 #1 habari zinazopatikana mitandaoni zinadai "wapenzi" hao wameanza kupeana miadi inayoashiria ujio wa kurudiana. ikadaiwa kwamba ni ri ri ndiye aliyeanza uchokozi huo kwenye mtandao wa twita. wa kale walisema wagombanao ndio wapatanoa! tusishangae kama hiyo sapraizi ipo kweli.
habari zinazopatikana mitandaoni zinadai "wapenzi" hao wameanza kupeana miadi inayoashiria ujio wa kurudiana. ikadaiwa kwamba ni ri ri ndiye aliyeanza uchokozi huo kwenye mtandao wa twita. wa kale walisema wagombanao ndio wapatanoa! tusishangae kama hiyo sapraizi ipo kweli.