Ndio nnaombaga ila kazi bila kushikwa mkono ni ngum kupata iwe bahati nasibu yako maana nafasi nyingi za madereva zikitoka ni 3 au 1 na wengi tunaombaga ingawa changamoto kubwa ni cheti cha form four mimi nna leaving certificate.Huwa unaomba nafasi za kazi zinazotangazwa na mashirika binafsi au serikalini?
Ndio nnaombaga ila kazi bila kushikwa mkono ni ngum kupata iwe bahati nasibu yako maana nafasi nyingi za madereva zikitoka ni 3 au 1 na wengi tunaombaga ingawa changamoto kubwa ni cheti cha form four mimi nna leaving certificate.
mkuu nilitaka nishangae VIP ya 2013 uswe na kazi aisee .Ndio nnaombaga ila kazi bila kushikwa mkono ni ngum kupata iwe bahati nasibu yako maana nafasi nyingi za madereva zikitoka ni 3 au 1 na wengi tunaombaga ingawa changamoto kubwa ni cheti cha form four mimi nna leaving certificate.
Haswa binafsi ila ila kazi bila kushikwa mkono au kuinunua ni ngum kupata maana naombaga sana ata kwenye interview auitwi na sehem nyingi situmi kwakua wanatakaga 4m4 certificateHuwa unaomba nafasi za kazi zinazotangazwa na mashirika binafsi au serikalini?
Haswa binafsi ila ila kazi bila kushikwa mkono au kuinunua ni ngum kupata maana naombaga sana ata kwenye interview auitwi na sehem nyingi situmi kwakua wanatakaga 4m4 certificate
Hahaha ndio hivyo mkuu ila wapo washkaji wamepita bila 4m 4 walinunua nafasi sijui walishikwa mikono sijui muhim nguvu ya mtu iwepo.
Kaka washkaji tulikutana chuo sasa siunajua mambo ya ahadi subiri kuna mtu nitakuunganisha nae atimayake jii
Sawa ndugu yangu nisaidie kunitumia iyo no: yake then nitafanya kama ulivyo niambia.Okay, basi sawa kuna tangazo nimeliona sehemu jamaa anatafuta dereva wa nyumbani kwa ajili ya kupeleka madogo shule na kuwarudisha.
Aliacha namba yake ngoja nikutumie pm.
NB :
HUYU MTU SIMFAHAMU WALA SINA UHUSIANO NAE, HIVYO BASI UKIHISI HARUFU YOYOTE YA UTAPELI AU KULIPIA CHOCHOTE NAKUOMBA UACHANE NAE NDUGU YANGU. AHSANTE.