ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Screenshot sio huu ujinga mtupu
Mange unamsumbua wivu wa kimasikini tu.....tangu lini masikini akamshauri tajiri jinsi yakufanikiwa ?hili ni pigo lingine kwa Mange
Nunua na we akupost tuone mkuuMbona ni kawaida sana mtu yoyote ukinunua hiyo wine unachofanya unapiga picha na hicho kinywaji na kufanya kutag kwenye page ya hicho kinywaji Rick anafanya kukupost
-Ndumilakuwili-
HahahahahaNadhani hata Diamond akipiga picha na Mugabe mtataka wafanye kolabo
Sent using Jamii Forums mobile app