Msanii huyo anapotea kwa kasi sana kwenye anga la muziki. Kwa miaka miwili lawama juu ya udhaifu wake walitupiwa Wasafi.
Ni muda tangu ajitenge na mafanikio na kuwa peke yake. Tatizo lake huyo kijana ni nini hasa hadi anashindwa kutoboa na kuwa msanii mkubwa mwenye mafanikio?
Kweli mkuu, sisi watanzania tunapenda sana kutupia wengine lawama...
Mtu wa namna hiyo ukute hajafanya lolote la maana iwe kazini hata kwenye biashara, sasa si bora Mavoko ambaye hata wanakaa kumuanzishia nyuzi humu!