Tunauza soft copy na hard copy ya kitabu cha RICH DAD POOR DAD cha Robert Kiyosak kwa bei nafuu..Hard copy tunauza 9.000/-Tshs na soft copy tunauza 3,000/-Tshs...TUPIGIE 0624-079887
Inawezekana mkuu lakini siyo kila kitu ni cha kuuza, vingine tunapeana free. JF ni platform iliyosheheni kila kitu na endapo mleta mada angeshirikisha kidogo ubongo wake angetambua soft copy siyo ya kuuza na tiyari ipo humuhumu Jf, may be hard copy ingekuwa sawa.