C Crispin Nyoni JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 413 Reaction score 90 Feb 12, 2013 #1 Wakuu heshima kwenu, Leo ni siku ya tano siipati Radio Free Africa(RFA)huku Songea.Napata shida, mnisaidie kuna nini?
Wakuu heshima kwenu, Leo ni siku ya tano siipati Radio Free Africa(RFA)huku Songea.Napata shida, mnisaidie kuna nini?
Rock City JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 1,266 Reaction score 505 Feb 12, 2013 #2 Wanakamgogoro baridi kanakohusu malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi, huenda mainjinia wa mitambo wameanza kuvuruga frequencies kwa kigezo cha 'tatizo la kiufundi'. Kiukweli wanalalamikiwa sana kwa siku za karibuni.
Wanakamgogoro baridi kanakohusu malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi, huenda mainjinia wa mitambo wameanza kuvuruga frequencies kwa kigezo cha 'tatizo la kiufundi'. Kiukweli wanalalamikiwa sana kwa siku za karibuni.
T Twalo frank Member Joined Dec 11, 2012 Posts 29 Reaction score 4 Feb 12, 2013 #3 Ni kwel kuna kamgomo baridi nahisi mambo hayohayo ya mshiko kwamba mkurugenzi wao anawazingua.