Dullo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2009 Posts 251 Reaction score 64 Mar 28, 2012 #1 Kwa wale wenzetu waliokuwa na kiu ya kuisikiliaza radio namba moja Tanzania Radio Free Africa sasa inapatikana kwa mtandao wa intaneti kwa kubonyeza hapa Radio Free Africa Tanzania | RFA Live jisikie kama uko nyumbani.
Kwa wale wenzetu waliokuwa na kiu ya kuisikiliaza radio namba moja Tanzania Radio Free Africa sasa inapatikana kwa mtandao wa intaneti kwa kubonyeza hapa Radio Free Africa Tanzania | RFA Live jisikie kama uko nyumbani.
i pad3 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2012 Posts 1,518 Reaction score 378 Mar 28, 2012 #2 wewe jamaa ndio dullonet? asante sana mimi ni mtembeleaji wa blog yako toka ianzishwe. bid up sana kaka kama ndio wewe
wewe jamaa ndio dullonet? asante sana mimi ni mtembeleaji wa blog yako toka ianzishwe. bid up sana kaka kama ndio wewe
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,509 Mar 28, 2012 #3 walau RFA nao wamefufuka , ni siku nyingi nimeimis binafsi nimefurahi sana