Size gani? 100mm au 80mm?Nauliza
Kula aluminiam moja nimeionanjuzi ina rangi nyeupe ( Sio PVC) Bei yake ipoje??
Maana niliikwangua ndo nikaona ni aluminium kwa ndani, lakini nje ni nyeupe
Kwa double glass ni 150,000 @ m²Nauliza
Kula aluminiam moja nimeionanjuzi ina rangi nyeupe ( Sio PVC) Bei yake ipoje??
Maana niliikwangua ndo nikaona ni aluminium kwa ndani, lakini nje ni nyeupe
Nafikiri hujafafanua vizuri unaposema double glassKwa double glass ni 150,000 @ m²
Single glass ni 120,000 @ m² bei yake ni hio ikiwa ya blonze ndio bei inapungua ila nyeupe bei ndio hio. Asante
Ok maana ya double glass ni kwamba dirisha linakua na vioo 2 vimeunganishwa kwa pande zote mbili kati kati ndio unakuta kuna na maua, single ni kioo kimoja tu mara nyingi kioo kimoja huwa akina maua. Hivyo basi dirisha likishakua na vioo viwili tayari gharama hio tofauti na kioo kimojaNafikiri hujafafanua vizuri unaposema double glass
Hapa utaelewekaOk maana ya double glass ni kwamba dirisha linakua na vioo 2 vimeunganishwa kwa pande zote mbili kati kati ndio unakuta kuna na maua, single ni kioo kimoja tu mara nyingi kioo kimoja huwa akina maua. Hivyo basi dirisha likishakua na vioo viwili tayari gharama hio tofauti na kioo kimoja
Size gani? 100mm au 80mm?
Kwa double glass ni 150,000 @ m²
Single glass ni 120,000 @ m² bei yake ni hio ikiwa ya blonze ndio bei inapungua ila nyeupe bei ndio hio. Asante
Mkuu niliuliza swali hapo juu ili ushtuke, ili upate bei sahihi lazima ujue size, msome mjumbe vizuri ana hojasijui kama umenielewa achana bronze na iyo yenye ipo kama sufuria, ninayoisema ipo coated na rangi nyeupe peeee
Nilimwambia mleta uzi aangalie majibu yakoSijakuelewa vizuri kiongi wangu naomba unieleweshe zaidi niweze kujibu kufasaha.
Mkuu niliuliza swali hapo juu ili ushtuke, ili upate bei sahihi lazima ujue size, msome mjumbe vizuri ana hoja