Rev Masanilo Won £ 500,000

u have made my cku haki ya nani.
 
My son!

Pass my gratitude love to Mzenj! I miss her so much. I believe she will stay away from con men all around. Msanii has portrayed his inner self.

Rev Masa K
 
mbona unanikatisha tamaa mapema hivyo? c utanishindisha na mihogo ya kuchoma wewe.

Siku moja moja tunaenda kwenye asili! Muhogo? unamaana gani Cassava ama ile nyingine!!
 
Siku moja moja tunaenda kwenye asili! Muhogo? unamaana gani Cassava ama ile nyingine!!

vyote pa1.....nikija nataka pizza pizza, au pork chop...yaani vitu fulani fulani hivi...haaaa ndio mana cku kakako(msukuma) akijua ID yangu ya humu ctaingia tena kabisa humu...lol
 
kwa kweli Fidel icngewezekana, yaani ingetokea ndio kakuleta wewe kama mchumba hata haruc ningesusia...ni matatizo jamani.

Hehehe haya bana mm nasubili binti yako akue nitangaze NIA sijui utamkataa mkwe?
 
Hehehe haya bana mm nasubili binti yako akue nitangaze NIA sijui utamkataa mkwe?

Fidel ctaki utani wako...kwanini unataka kuniua na pressure?....ctakataa lakini nitajifia taratibu nikimfikiria mkwe mwenyewe.
 
Mchungaji Masa, wewe huyawazi ya Mungu bali ya......??
 
Fidel ctaki utani wako...kwanini unataka kuniua na pressure?....ctakataa lakini nitajifia taratibu nikimfikiria mkwe mwenyewe.

Hahahaha haya lakini utani wenyewe unakaribia na ukweli project ya 2012 nimeifuta
 
Hahahaha haya lakini utani wenyewe unakaribia na ukweli project ya 2012 nimeifuta

Tangaza nia umeokoka na ni muumini wa mtumishi wa bwana Mpakwa mafuta Rev Masa, kila kitu mstali
 
Kwanza mimi siku account yangu itaingiziwa/deposit(ed) milioni 50 tu itapata homa na system ya benki itakolapse kama ya Benki ya NMB kwa masaa kadhaa.Bcoz the biggest amount ever deposited was laki 3. So itabeba mzigo mkubwa na kujiuliza huu wema umetoka wapi??????? Ni sawa na mtu aliyezoea kula vyakula vya low quality na visivyo na mafuta salama siku akionja vizuri huarisha na kuanza kulalamikia wapishi.
 
he!he!he!he!...bahari ya mtende imemshukia Mchungaji....Lol
 
lakini wewe ukipita kwa wananchi lzma wakukimbia mana una fujo

kumbuka kupiga kura kwa JK

Haina shida nitampa Lipumba anamvuto na ile style anayonyoa nywele zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…