Resume is a professional representation of your personality and skills:....What is resume website?
....What is resume website?
Nafikiri ukiwa na resume nzuri itakusaidia kupata interviews, kupata kazi kunategemea na how you impress your interviewers......Asa website hiyo itanisaidiaje mimi kupata kazi?
Ili ije kitofauti isiwe ni website ya watu kutengeneza cv na kudownload tu, isipokuwa iwe ni membership website ambayo members wanatengeneza cv na employers waweze kusearch hizo CV...Unafikiri iweje ili ikusaidia kupata kazi mzee webuser2....funguka!