Research question

naima79

Senior Member
Joined
Feb 27, 2009
Posts
188
Reaction score
115
wadau nisaidieni challenges ambazo researcher anakutana nazo kutoka kwa jamii anayoenda kuifanyia research
 
Nenda utakutana nazo, au unataka kuitengenezea hapo room.
 
reserch gani...? inahusiana na nini...?
 
Culture diversity

Hapa anakutana na tamaduni mbali mbali by which zinaweza kumuharibia utaratibu wa kukusanya data, so culture ina act kama a major sanction

Stereotype and reluctant of the respondents

Hapa ni kwamba kumekuwa na tamaduni ya watu/respondents kuwafananisha researcher na agents wa serikali hali inayofanya wakatae kutoa data au wakitoa basi wanaset a stage, hence data zinakua contaminated

Na nyingine nyingi
 
Gharama ya kufanya tafiti... mazingira ya eneo ambayo unaenda kufanya tafiti...upatikanaji wa data kutoka kwa respondents wengi hawatoi data muhimu wengine hufikia hatua hadi ya kuuomba uwape hela..
 
wadau nisaidieni challenges ambazo researcher anakutana nazo kutoka kwa jamii anayoenda kuifanyia research
Lugha

Miundombinu!

Lakini sikuwai kufikiri kuwa kuna mwanafunzi aliyefikia hatua ya kufanya tafiti na ambaye amesoma kuhusu utafiti atashindwa kujua changamoto ambazo atakumbana nazo kutoka kwa jamii husika wakati anafanya utafiti wake!

Nafikiri unapaswa kurudi darasani kusoma upya topic ya utafiti.
 


Kanilipie fees uniendeleze, na hilo jina lako na ulicho comment ndio walewale wanaojua kila kitu teh teh teh
 

Thanks Gautama
 
Gharama ya kufanya tafiti... mazingira ya eneo ambayo unaenda kufanya tafiti...upatikanaji wa data kutoka kwa respondents wengi hawatoi data muhimu wengine hufikia hatua hadi ya kuuomba uwape hela..

Shukrani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…