Nyie ndo mnaharibu ubora wa elimu na uwezo wa wanafunzi kufanya tafiti. Kifupi, hizi service ulizoandika ni geresha tu, nyie mnawaandia wanafunzi tafiti na kuwapa nzima nzima wala hawaijui title yaitwaje.
Angalizo: Kama nyie hamfanyi hivyo 99% ya wenzenu hufanya hivyo kwa hiyo lawama hizi sio majungu.
acha kudumaza elimu wewe, nyie mnafanya wanafunzi wanakuwa wavivu na wasiosomaThis is a consultation and advice service! Just like any Consultation service!!!! Why cant we give people direction on how to do things right! Think out the box and don't be in a dogmatic paradigms, knowledge for me is all about sharing each and everything, in good faith, ethical manner and professionalism.
Nataka wa kuniandika reseach yangu nzima nzima na kunipatia