Report: Operation denazification in Ukraine Phase II

Moscow imejibu kuwa iko na macho kwenye kila msaada na itaushughulikia kabla haujafika kwa walengwa kama ilivyofanya wiki jana ilipoingilia mawasiliano ya kijeshi kati ya Ukraine na Marekani kisha ikaenda kupokea silaha yenyewe badala ya Ukraine.
Haya yalifanyika lini
 



"Decoconutification"= kuwafurasha Manazi.
 
Hapana mkuu.....hii ni report ya jeneral anayeongoza phase ii ya operation so hii imeangazia upande wa Russia

But hii sio over view ya Vita vyote
Kwahiyo huyo jeneral kakutumia hiyo report.... 🤣🤣🤣.... Hii ndo Africa bara la jeusi na watu wake weusi na akili zao nyeusi... 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…