Renting a house for one month...

Renting a house for one month...

4X4byfar

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
201
Reaction score
22
Za leo bandugu,

Jamani nina tafuta nyumba.
- iwe na security ya kutosha
- maeneo yoyote Dar ila karibu na mjini. Mfano mwenge, kijitonyama, sinza, kinondoni, ubungo etc.
- Ndani kuna fully equiped yani kila kitu na full a/c, maji moto na baridi.
- itakuwa vizuri ikiwa na vyumba vya kulala kuanzia vitatu.

Itapangishwa for one month only.
Nashukuru sana kwa msaada wenu.
 
hakuna mwenye nyumba akataye kubali upange nyumba one month...
labda nenda kapange kwenye apartments full furnitures ndani hamia na nguo zako tu.na mke na watoto zako kama uko nao..
 
Za leo bandugu,

Jamani nina tafuta nyumba.
- iwe na security ya kutosha
- maeneo yoyote Dar ila karibu na mjini. Mfano mwenge, kijitonyama, sinza, kinondoni, ubungo etc.
- Ndani kuna fully equiped yani kila kitu na full a/c, maji moto na baridi.
- itakuwa vizuri ikiwa na vyumba vya kulala kuanzia vitatu.

Itapangishwa for one month only.
Nashukuru sana kwa msaada wenu.

Tafuta appartments kaka, utapata tena maeneo mazuri tu.
 
Za leo bandugu,

Jamani nina tafuta nyumba.
- iwe na security ya kutosha
- maeneo yoyote Dar ila karibu na mjini. Mfano mwenge, kijitonyama, sinza, kinondoni, ubungo etc.
- Ndani kuna fully equiped yani kila kitu na full a/c, maji moto na baridi.
- itakuwa vizuri ikiwa na vyumba vya kulala kuanzia vitatu.

Itapangishwa for one month only.
Nashukuru sana kwa msaada wenu.

Nyumba hapana labda apartment,what's your offer ndugu?
 
Asanteni kwa ushirikiano wenu,

Hizo apartments ndo nilimaanisha pengine maelewano tuu! Nilitaka isio zidi usd 1000.

Nipeni maeneo yenye security nzuri na usalama pia karibu na mjini.
 
utahitaji kuanzia lini? nafanya mpango nikuachie yangu kwa mwezi mmoja sio mbaya ina kula kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom