I really appreciate all who sent me private message on my email. By re-phrasing a common saying: a Tanzanian in need is a Tanzanian indeed. Keep it up guys.
Thank you nyumba kubwa. Ni kweli in 2005 Embassy delegated an official to our city to take fingerprints, pictures and collect payment. Then, after 3 or 4 months they came back with new passports. This time I presumably, will have to fill up the forms, scan the pictures and fingers, get all endorsements from the Embassy and later, I, on personal cost, will DHL all these documents to Dar. I pray that all run smooth.
Ila watakuwa na ukiritimba...finger prints za nini kama unataka ku replace old passport na new one? si wanazo fingerprints zako...
Siyo ukiritimba, wanachukua alama za vidole kulinganisha na zile zilizopo kwenye database yao, kuhakikisha kuwa ni mtu yule yule.
Kwani wakitumia za kwenye data base kutengeneza passport na wewe si yule yule si unaumbuka ukipita kwenye machine za kuchekia finger prints mpakani?
Siyo wote wanatoka mipakani, wengine wameshafika.
Sawa mkuu. Nitajirekebisha. Juu ya uraia wangu sidhani kama kuna shaka kwani tuko nao bega kwa bega na hata wakati wa visafari vya nyumbani tunapeana visenti vya kuwapelekea ndugu na jamaa. Mbali ya hapo, kuna facts ambazo ukimwambia mtu hatakuwa tena na wasiwasi na uraia wako. Vitu kama JKT, scholarships enzi za Nyerere na migomo ya Topping Up Allowances kwa wanafunzi wa Eastern Block.Kiingereza cha nini? labda wanakutilia mashaka na utaifa wako ndio maana wanakusumbua,ongea nao kiswahili na hapa andika kiswahili tu nadhani watakusaidia haraka sana.
Nalog off
Sawa mkuu. Nitajirekebisha. Juu ya uraia wangu sidhani kama kuna shaka kwani tuko nao bega kwa bega na hata wakati wa visafari vya nyumbani tunapeana visenti vya kuwapelekea ndugu na jamaa. Mbali ya hapo, kuna facts ambazo ukimwambia mtu hatakuwa tena na wasiwasi na uraia wako. Vitu kama JKT, scholarships enzi za Nyerere na migomo ya Topping Up Allowances kwa wanafunzi wa Eastern Block.
.... wakaniambia kwa kipindi hicho fomu za maombi ya passport ziliisha kwa hiyo wanasubiri watumiwe kutoka Tanzania. Hivyo niliendelea kuwapigia simu karibu kila wiki kujua kama fomu hizo zimeshafika. Ilichukua takriban miezi sita ndio fomu ziliwasili.....
Maajabu haya, fomu ziliisha?! Makaratasi wanayo kwa nini wasi print?
Ndugu yangu, walisema hizo fomu lazima zitumwe kutoka wizara ya mambo ya ndani, Tanzania, nafikiri zinachapishwa kwa makaratasi maalum. Kama nilivyosema hapo juu, process nzima iko kitanzania zaidi. Kama una haraka na mambo yako unaweza kukwama, kwahiyo bora kuchukua tahadhari mapema.
Naungana na wewe kabisa. Fomu hizo zimechapishwa kwa karatasi za kawaida ila kila fomu ina namba maalum (serial number) ambayo inaonyesha ni kama vile kuna mtu maalum anagonga muhuri huku akiongeza namba kwenye kila form. Mbili, mambo yanakwenda kibongo bongo tu. Story nyingi na kazi haiendi. Almost siku nzima nimetumia hapo. Cha kutisha zaidi nilidaiwa shahada ya kuzaliwa. Mie mara ya mwisho
nilikiona mwaka 1981 wakati natengeneza passport ya kwanza. Nikamweleza kuwa sina na akadai mtanzania yeyote anaweza kuthibitisha kuwa mimi ni mtanzania. Ila anahitajika hakimu au wakili. Passport zangu sita zilizoisha/jaa na kubadilishwa haziwezi kuthibitisha kuwa mimi ni mbongo. Na mara zote walikuwa wanaitaji DN number tu.