Relationships will drain you as a man

Food In the stomach is digested and the nutrients are taken to the whole body through blood circulation
The purpose of blood circulation is to transfer air and food nutrients (energy ) to the organs

Also you should know that a person with starvation dies because body organs lacks energy to continue working
 
Humu tuna watu wa ajabu sana. Mtu anakwambia blood circulation is all about veins. Hajui hyo blood inahitaji pumping machine ili kuzunguka mwili mzima. Hajui hyo pumping machine inahtaji energy ili kufanya kazi. Anyway ndo madhara ya vitabu vya oxford tusimlaumu

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Angalia comment husika iliongelea njaa gani. Hii njaa unayopata sabab ya kuchelewa kula sio hyo tulokua tunazungumzia haapa. Si tunazungumzia njaa ya kupigika huna hela ya msosi na hujui utakulaje sasa ww unazungumzia njaa ya kuchelewa mda wa kula

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Art pure hawa mkuu usiwalaumu hata Osmoregulation hawajui ni nn
 
Veins hazina pressure ya heart,, ni contractions z muscles ndo zinafanya kuwe na movements kwenye veins that's why kuna valve

Hata usipokula but una enough protein, glucose and fat moyo hauwezi kukosa energy ya contractions and relaxation
 
The naked truth, nshajichanganya ikawa matizi hola, online training sielewi kitu, kuanzisha side hustle nakuwa mzito, ila nashukuru alinipa sababu na mi sikufanya makosa nikamtua kwa wazazi wake nyambaaf
 
Huenda kuna mwana mwingine alienda kuibeba ile manzi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mwana ulijikuta michakato haiendi au sio
πŸ˜‚ ngoma ngumu laana sio laana mkosi sio mkosi, by the way nliijua sababu ni kwamba sio mwaminifu afu anaimani potofu shiriq, isitoshe background yake haina baraka za Mungu hata chembe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚dah mkuu mimi sahv kila nkifikiria kufanya mchakato nivute manzi af nkikumbuka michakato haisomi nakausha tu
 
Bora kukausha baharia jipende wewe kwanza then after utapata mtu anayekupenda kama we unavyojipenda ila ukimsikiliza abdala kichwa wazi utakuja na uzi hapa jamvini huku jasho linatiririka
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kuna jinamizi lilishanipiga tukio mkuu akili imenyooka sahivi

Dem alitumia nguvu nyiiingi nimpende nlivozama tu kwenye 18 nkala nyundo
 
Veins hazina pressure ya heart,, ni contractions z muscles ndo zinafanya kuwe na movements kwenye veins that's why kuna valve

Hata usipokula but una enough protein, glucose and fat moyo hauwezi kukosa energy ya contractions and relaxation
Dah!!! Hv unakielewa kweli unachoandika haapa? Hebu rudia kusoma ulichoandika afu nambie kama umekielewa

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…