Timu Iliomsajili Sakho, QR Metropole Ya Ufaransa Inayoshiriki Ligi Daraja La Pili Nchini Humo Imecheza Michezo 8 Ya Ligi 2, haijashinda Hata Mmoja, Imetoa Sare 2, na Kukung'utwa 6, Ikifunga Magoli 6 na kuchomekwa Magoli 12, Ikiwa na points 2 Pekee, Points Zinazoisaidia Timu ya Pape Sakho Kushika Mkia Katika ligi hiyo.
Katika michezo hiyo 8, Kijana Machachari Pape Sakho Hajaona Hata Dakika 1, Hata Benchi Hajawahi Onja katika michezo hiyo 8 hadi sasa.
Watu mna Roho mbaya 😂🤣 kwahyo mmeamua kabsa kuingia chimbo kusaka Takwimu za Mwamba ingali amejificha huko Ligi 2 ambyo hata kwenye visimbuzi mechi hazionyeshwi.