Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,413 Nov 23, 2020 #1 Mwigizaji Brahmanandam kutoka India ndiye mwigizaji anaeshikilia Rekodi ya Guinness Book yakua mwigizaji aliye onekana katika filamu nyingi zaidi duniani , Brahmanandam ameonekana kwenye filamu 1,000 na zaidi.
Mwigizaji Brahmanandam kutoka India ndiye mwigizaji anaeshikilia Rekodi ya Guinness Book yakua mwigizaji aliye onekana katika filamu nyingi zaidi duniani , Brahmanandam ameonekana kwenye filamu 1,000 na zaidi.
Mdomo bakuli JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 3,442 Reaction score 7,020 Nov 23, 2020 #2 Mbona mie simjui!! Ila inawezekana maana mie na movie za kidosi daaah kama bongo movie tu na weme wao.
Mbona mie simjui!! Ila inawezekana maana mie na movie za kidosi daaah kama bongo movie tu na weme wao.
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,413 Nov 23, 2020 Thread starter #3 Mdomo bakuli said: Mbona mie simjui!! Ila inawezekana maana mie na movie za kidosi daaah kama bongo movie tu na weme wao. Click to expand... Ukiangalia picha za Kihindi hata Mbili utamuona
Mdomo bakuli said: Mbona mie simjui!! Ila inawezekana maana mie na movie za kidosi daaah kama bongo movie tu na weme wao. Click to expand... Ukiangalia picha za Kihindi hata Mbili utamuona
Jackson94 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 505 Reaction score 600 Nov 23, 2020 #4 Mimi huwa namuita King Majuto wa India ππππ
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,415 Nov 24, 2020 #5 Picha
Drizzle JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 4,857 Reaction score 14,747 Nov 24, 2020 #6 Deejay nasmile said: Picha Click to expand... I second
manndungu JF-Expert Member Joined Jul 9, 2020 Posts 503 Reaction score 490 Nov 25, 2020 #7 Picha yake tafadhali