Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
...naomba munijibu swali hili nitakalowauliza sasa hivi toka mioyoni mwenu honestly:
Ni sahihi Kikwete kuhudhuria mazishi ya Kanumba (na kutoa "ubani") na asitoe hata 5% ya heshima ya namna hiyo kwa General Kyaro?

Mods, naomba utoe huu upuuzi..
Watu kama hawa ndio wanaotujazia server kwa thread zisizo na kichwa wala miguu.

Endelea tu kupata maumivu....mimi mambo yangu shwari, sina presha yoyote. Naijenga nchi yangu kwa amani!No wonder wewe ni gamba!
Btw: Watu wanaposema ili mtu awe na moyo wa kuitetea ccm hii ni lazima ama awe:
(a): ananufaika na hali iliyopo
au
(b): Awe zezeta.
Rejao atakuwa ni combination of the two!
Thanx mkuu kwa kuliona hilithanx Rejao! Angeweza kukupm na kupata majibu yake. Unless you didnt respond. Otherwise she is wrong and your comment is right!
kwa akili yako hapo unaona kuna hoja?Mbona unatokwa na mapovu? Jibu hoja...
kwa akili yako hapo unaona kuna hoja?
tupa kule Rejao...wanataka kujebga umaarufu kupitia ww...freak!...
kwa akili yako hapo unaona kuna hoja?
Sasa na wewe unachekesha, Rejao ana umaarufu!!!........ hivi kuandika pumba hapa JF huo ndio umaarufu?tupa kule Rejao...wanataka kujebga umaarufu kupitia ww...freak!...
Umeonaee...watu full kujigonga...kila saa rejao rejao...!!tupa kule Rejao...wanataka kujebga umaarufu kupitia ww...freak!...
Hakuna sentensi itakayoleta sense kama contents zake zitahusisha "Rejao" na "umaarufu" (unless una maana ya irrationality).
Poleni sana...Sasa na wewe unachekesha, Rejao ana umaarufu!!!........ hivi kuandika pumba hapa JF huo ndio umaarufu?