Redio imani - elimu bila mipaka

Status
Not open for further replies.

Ebu fafanu vizuri dogo!
 
Kwa mwenendo huu hivi nani anathubutu kusema eti Tanzania hakuna udini?
 
Kwa hiyo wewe badala ya kujiandaa na mtihani unakalisha saburi zako kusubiri matokeo ya std Seven? ....
Kweli kizazi hiki cha Eshmaeli kina laana...
Yatatoka lini? katika zama hizi za teknolojia ni muda mrefu sana sasa ati!
Na wanafanya nini na matokeo ya mitihani wakati wote huu? halafu yapo katika mikono ya kina nani?!
Kumbuka huu ni wakati wa uwazi mkuu!
 
Naona ninakoelekea ni kupigwa ban...Ngoja nisepe...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…