ashishi vidyat
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 207
- 286
πππππYou will be fine.... You will be fine... wewe sio wa kwanza kupitia unachopitia.
πππππTatizo la madogo hawaelewi mi nimeamua kukaa kimya mtu akija kusema anateseka na mapenzi namuambia bado kidogo teseka tena akili ikikaa sawa utaona tu anavyo behave unajua huyu sasa akili imekaa sawa sawia.