Umenikumbusha enzi hizo nipo chuo. Jamaa mmoja aliuleta hostel, tukaanza kumnyanyapaa, tukamtenga na kumtania. Alipopona tu mwingine akaanza, ikawa kama kawaida yetu kumnyanyapaa anaeumwa. Daah, mimi niliupata mwishoni nakumbuka tunafanya UE, huo ugonjwa ni balaa.
Nipo job hapa kuna mtu nimemuona macho mekundu na ni staff, bahati mbaya ndio nimeanza kazi leo so sijamzoea mtu yoyote hapa hata sijui kama ni macho yake au ndio kaupata