Unajua co yote yatafutwa...tatizo c kukidhi vigezo hapo walishapewa waraka ili kurekebisha makosa yao madogomadogo dhen wanapiga kazi kama kawa tena. Serikali ikikwambia wanafuta co wanawafuta ni kuwapa nafasi ili kukamilisha usajil wao tu nao c wanataka kodi mzee.